Mmoja wa wasichana kwenye top ten ya matokeo ya form four kitaifa, Elizabeth Sigalla akiwa home kwao Upanga jana. Mtoto mzuri kwa muonekano na kwenye ubongo ndio usiseme, ana A saba, nyingi zikiwa za science subjects.Dream yake, akifika chuo kikuu asome Engineering, hasa Computer Engineering.Huyu kweli kipanga!
Maaashallah mtoto mzuri, mungu akujaalie
ReplyDeleteHongera sana Elizabeth, Mungu akupiganie
ReplyDeletekatika masomo ya ko ya Elimu ya juu.