Thursday, February 12, 2009

BEAUTY WITH BRAIN


Mmoja wa wasichana kwenye top ten ya matokeo ya form four kitaifa, Elizabeth Sigalla akiwa home kwao Upanga jana. Mtoto mzuri kwa muonekano na kwenye ubongo ndio usiseme, ana A saba, nyingi zikiwa za science subjects.Dream yake, akifika chuo kikuu asome Engineering, hasa Computer Engineering.Huyu kweli kipanga!

2 comments:

  1. Maaashallah mtoto mzuri, mungu akujaalie

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Elizabeth, Mungu akupiganie
    katika masomo ya ko ya Elimu ya juu.

    ReplyDelete